Advertisement

ALIKIBA | HAMISA MOBETTO WAFANYA BONGE LA SHOW - SAUTI SOL IN DAR

ALIKIBA | HAMISA MOBETTO  WAFANYA BONGE LA SHOW - SAUTI SOL IN DAR FAHAMU: Usiku wa jana kulikuwa na bonge la show kutoka kwa kundi la muziki kutoka kenya Sauti Sol show iloyofanyika katika ukumbi wa Next Door Arena. Show iyo iliudhuriwa na wasanii wengine kutoka hapa Tanzania Ali Kiba, Barnana Classic, Hamisa Mobetto, Ruby na Chrisitian Bella, Nimekusogezea video clip ya show aliyofanya Hamisa Mobetto na Christian Bella Itazame hapa kisha drop comment zako

hamisa mobeto,sauti sol,alikiba,Alikiba kweye show ya Sauti sol,SAUTI SO IN DAR,RHUMBA FESTIVAL,SHOO YA SAUTI SOL IN DAR,

Post a Comment

0 Comments